RUDISHA TABASAMU LA ARNOLD
Reference No: 303030
Naitwa Arnold Augustine, nina miaka 25, ni yatima, ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa 5 katika chuo cha tiba KCMC Moshi. Niligundulika kuwa na ugonjwa wa figo kushindwa kufanya kazi (Chronic Renal Failure) na nimekuwa nikifanyiwa uchujaji wa damu kwa kutumia mashine maalum (Hemodialysis). Matibabu ya moja kwa moja ya ugonjwa huu ni kupandikizwa figo. Niwashukuru sana wanafunzi wenzangu, uongozi wa chuo na hospitali kwa msaada wao mpaka nilipofikia. Nawaomba sana watanzania mnisaidie kunichangia ili niweze kufanyiwa upandishaji huo. ASANTENI SANA NA MUNGU AWABIRIKI. NB: Michango hii ya mtandaoni inaratibiwa na Gideon Barongo (0765023986) kwa ruhusa yangu Arnold Augustine (0766693883)
Goal: 30,000,000 TZS
Recent Donations

15,000 TZS
6 years ago Share

500 TZS
6 years ago Share

1,000 TZS
6 years ago Share

10,000 TZS
6 years ago Share

30,000 TZS
6 years ago Share

50,000 TZS
6 years ago Share

20,000 TZS
6 years ago Share

3,000 TZS
6 years ago Share

5,000 TZS
6 years ago Share

10,000 TZS
6 years ago Share
Arnold Augustine
Social:0765023986
giddykb@gmail.com
Ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa 5 chuocha utibabu KCMC Moshi mwenye tatizo la ugonjwa wa FIGO kushindwa kufanya kazi. Nimekuwa nikifanyiwa uchujaji wa damu (Hemodyalysis) mara 3 kwa mwezi. Matibabu ya ugonjwa huu ni kupandikizwa figo. Naomba sana mchango wako kuwezesha matibabu yangu na kuweza kupandikizwa figo.