News

Mfumo wa kwanza wa harambee Tanzania wazinduliwa

Kampuni ya TiME TICKETS, leo imezindua rasmi mfumo wa kisasa wa uchangishaji pesa unaotambulika kwa jina la WEZESHAsasa. Mfumo huu wa kwanza kubuniwa kwenye historia ya uendeshaji wa uchangiaji wa hiyari (Harambee) Tanzania, unayahakikishia mashirika yasiyo ya kiserikali, asasi za kirai, vikundi Soma zaidi