Hatua ya kwanza
Tengeneza Campaign mpya
Kama bado hujajisali na mfumo wa WEZESHAsasa, Fungua jisajili kisha ingia ndani na endelea
Hatua ya Pili
Shirikisha wanafamilia na marafiki
Hatua ya Tatu
Pokea michango kiurahisi sana
Unaweza kupokea michango yako kwa check ya banki au uhamisho wa benki moja kwa moja kwenda kwenye akauti yako
Hatua ya Nne
Furahia Matokeo
Fanya marekebisho, weka taarifa za yaliyojiri (updates) na tuma shukrani zako moja kwa moja kutokea kwenye ubao(dashboard) wako.