Rudisha Furaha kwa Judith
Reference No: 161616
Judith Mushi ni binti mwenye miaka 20. Alizaliwa akina na changamoto ya ulemavu wa macho, kuongea, akili na tatizo la koo. kwasasa anaishi na mama yake tu Bi Hilda Mushi baada ya baba yake kufariki kwa ugonjwa wa kisukari. Judith alifanyiwa operesheni mara 6 hospitali ya Muhimbili na kuhamishiwa CCRBT. Anahitaji msaada wa chochote kubadili maisha yake. Mchango huu umelenga kumsaidia Judith kupata bima ya afya, matibabu na kuiwezesha familia yake ili iweze kumhudumia kwa urahisi. Michango hii itasaidia pia kuiwezesha familia ya Judith kiuchumi na kuwatoa katika hali ya kuwa tegemezi waweze kuendelea kujitegemea katika kumhudumia Judith Michango hii inaratibiwa na PLPDF, mawasiliano zaidi piga simu +255 713 889 861
Goal: 5,000,000 TZS
Recent Donations

4,500 TZS
7 years ago Share

10,000 TZS
7 years ago Share

20,000 TZS
7 years ago Share

10,000 TZS
7 years ago Share

2,000 TZS
7 years ago Share

18,000 TZS
7 years ago Share

5,000 TZS
7 years ago Share

1,200 TZS
7 years ago Share

3,000 TZS
7 years ago Share

5,000 TZS
7 years ago Share
PLPDF - Peace Life for People with Disabilities Foundation
Social:0713889861
sophiambeyela63@gmail.com
Taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na maswala mbalimbali ya kijamii kwa kusaidia jamii ya watu wenye mahitaji maalumu hasa kuisaidia jamii ya watu wenye hali ya ulemavu, Ikiwa na malengo ya kuwahamasisha kuinuka kiuchumi, kielimu, kiafya na kuwajengea uwezo wa kujikwamua kiuchumi. Taasisi imesajiliwa chini ya wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto kwa namba NGO/009317