Narudisha Tabasamu
Reference No: 180180
John Paulo Edward Waziri alizaliwa miaka 18 iliopita. Mama yake mzazi na John alifariki wakati John ana miaka 3. Baba yake John ndio kalibeba jukumu la kumlea hadi hii leo. Kijana John alifanikiwa kumaliza shule ya msingi na kufaulu kwenda sekondari. Alikwenda kusoma sekondari Kawe Ukwamani ambapo alisoma mpaka kidato cha pili. Hali ngumu ya maisha ndio ilimfanya John kushindwa kuendelea na masomo kwani alipokuwa kidato cha pili John alipata tatizo la moyo ambalo mpaka leo hii linamsababishia uvimbe tumboni kila kukicha. Kutokana na hali duni ya uchumi kwao, John anasumbuka mpaka leo. Kila mwenye afya njema hakosi tabasamu, lakini John amepoteza tabasamu na kukata tamaa ya maisha kutokana na afya yake kuwa mbaya na hali ya uchumu wa familia kuwa mbaya. Ungana na Choice FM 102.5 kupitia MWB – Mji wa Burudani kurudisha tabasamu la John. Tunarudisha tabasamu la John kwa kuchangisha kiasi kisichopungua milioni 4 kwa ajili ya matibabu ya John. Fedha zitakazo patikana zitatumika kurudisha tabasamu la John na atarudi katika hali yake ya kawaida na vile vile ataweza kutimiza ndoto zake.
Goal: 5,000,000 TZS
Recent Donations

1,000 TZS
7 years ago Share

500 TZS
7 years ago Share

2,000 TZS
7 years ago Share

500 TZS
7 years ago Share

228,000 TZS
7 years ago Share

500 TZS
7 years ago Share

1,000 TZS
7 years ago Share

1,000 TZS
7 years ago Share

5,000 TZS
7 years ago Share

1,000 TZS
7 years ago Share
John Paulo Edward Waziri alizaliwa miaka 18 iliopita. Mama yake mzazi na John alifariki wakati John ana miaka 3. Baba yake John ndio kalibeba jukumu la kumlea hadi hii leo. Kijana John alifanikiwa kumaliza shule ya msingi na kufaulu kwenda sekondari. Alikwenda kusoma sekondari Kawe Ukwamani ambapo alisoma mpaka kidato cha pili. Hali ngumu ya maisha ndio ilimfanya John kushindwa kuendelea na masomo. Alipokuwa kidato cha pili John alipata tatizo la moyo ambalo mpaka leo hii linamsababishia uvimbe tumboni kila kukicha. Kutokana na hali duni ya uchumi kwao, John anasumbuka mpaka leo. Kila mwenye afya njema hakosi tabasamu, lakini John amepoteza tabasamu na kukata tamaa ya maisha kutokana na afya yake kuwa mbaya na hali ya uchumu wa familia kuwa mbaya. Ungana na Choice FM 102.5 kupitia MWB – Mji wa Burudani kurudisha tabasamu la John. Tunarudisha tabasamu la John kwa kuchangisha kiasi kisichopungua milioni 4 kwa ajili ya matibabu ya John. Fedha zitakazo patikana zitatumika kurudisha tabasamu la John na atarudi katika hali yake ya kawaida na vile vile ataweza kutimiza ndoto zake.
Update 1
Posted by Godluck Akyoo7 years ago
Feza Kessy, Idris Sultan na Tei ze Best wa MWB – Mji wa Burudani ya Choice FM 102.5, kwa niaba ya familia ya bwana John Waziri, tunatoa shukrani za dhati kwa wote ambao mmejitolea kwa hali na mali kufanikisha matibabu. Waswahili tunasema haba na haba hujaza kibaba, hivyo tunayo furaha tele kwa vile kibaba chetu kimejaa na zaidi.
Jakaya Kikwete Cardiac Institute imempokea John na tayari ameanza matibabu ya awali kabla ya kufanyiwa upasuaji (kama picha inavyoonekana hapo chini).
Wewe uliechanga, tambua ya kwamba mchango wako una thamani kubwa sana na unafanya kazi ya kurudisha tabasamu la John.
Mungu awabariki wote, awafanyie wepesi katika harakati zenu za kila siku.