Mchango wa Operesheni ya Figo - Mwl. Kisese
Reference No: 252525
Mimi naitwa mwalimu Kisese ( Charles Kisese), naumwa sana na ninaomba msaada wa kifedha. Figo zote mbili hazifanyi kazi, moyo umetanuka na maini yamevimba. Madaktari bingwa wa figo na moyo wa Muhimbili walipokaa meza moja pamoja nami mwezi huu wa pili 2018, wamesema madhara yote hayo chanzo ni figo kutofanya kazi, wakashauri nifanyiwe upandikizaji wa figo ( Kidney transplant) kwanza. Gharama za upasuaji pamoja na Figo ni Milioni 25, (25,000,000/-). Natarajiwa kufanyiwa operesheni mwezi wa nne katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Gharama hiyo ni kubwa na nashindwa kuibeba maana nimeumwa Kwa muda mrefu, tangu 2015. Kwa ujumbe huu nakuomba ndugu yangu unichangie kiasi chochote utakachojaliwa ili kupata fedha hizo Kwa wakati. Nisaidie pia kuwafikishia watu wengine taarifa hizi. Mungu akubariki sana. Kwa sasa hivi ninaishi Kimara, Dar es Salaam. Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana: Mwl. Kisese 0755811967 au 0711629415. Pia unaweza kuwasiliana na Mke Wangu 0756542303
Goal: 25,000,000 TZS
Recent Donations

1,027,000 TZS
6 years ago Share

100,000 TZS
6 years ago Share

200,000 TZS
6 years ago Share

15,000 TZS
6 years ago Share

10,000 TZS
6 years ago Share

5,000 TZS
6 years ago Share

50,000 TZS
7 years ago Share

10,000 TZS
7 years ago Share

10,000 TZS
7 years ago Share

237,000 TZS
7 years ago Share
Mwl. Charles Kisese
Social:0755811967
taarifa@wezeshasasa.com
Mimi naitwa mwalimu Kisese ( Charles Kisese), naumwa. Figo zote mbili hazifanyi kazi, moyo umetanuka na maini yamevimba. Madaktari bingwa wa figo na moyo wa Muhimbili walipokaa meza moja pamoja nami mwezi huu wa pili 2018, wamesema madhara yote hayo chanzo ni figo kutofanya kazi, wakashauri nifanyiwe upandikizaji wa figo ( Kidney transplant) kwanza. Gharama za upasuaji pamoja na Figo ni sh. Million ( 25,000,000/-). Gharama hiyo ni kubwa na nashindwa kuibeba maana nimeumwa Kwa muda mrefu, tangu 2015. Kwa ujumbe huu nakuomba ndugu yangu unichangie kiasi chochote utakachojaliwa ili kupata fedha hizo Kwa wakati. Mungu akubariki sana. Kwa sasa hivi ninaishi Kimara Dar es Salaam. Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana: Mwl. Kisese 0755811967 au 0711629415. Pia unaweza kuwasiliana na Mke Wangu 0756542303