
Tuijenge Masjid Barkat Orphanage center kwa pamoja
Reference No: 10021267
Taasisi ya Youth shade foundation inakuribisha/kualika kuchangia fedha kwaajili ya ukarabati Pamoja na kununua maitaji kama Chakula, Mavazi, vitanda , magodoro, vifaa vya shule kwa ajili ya Kituo cha watoto yatima kiitwacho Masjid Barkat orphanage center Kituo cha Kulelea Watoto Yatima Kilichopo Mkoani Dar es Salaam Wilaya ya Kigamboni Mwembe Mdogo Mtaa wa ukooni. Kilicho teketea kwa Moto siku ya tarehe 27/11/2019.Watoto Wako salama lakini mali zao zote zimeteketea, Wamebaki na Nguo walizokua wamevaa siku ya Tukio. Kwa sasa watoto wanalala Msikitini toka siku ya tukio hadi leo hii, Tunaomba Kila alikuswa kuweza kuchangia Wasiliana nasi kupitia namba
- Brian Mlingi +255 67 235 8189
- Beatrice Nkoo +255657744289
Goal: 15,000,000 TZS
Recent Donations

2,000 TZS
5 years ago Share

5,000 TZS
5 years ago Share

2,000 TZS
5 years ago Share

3,000 TZS
5 years ago Share
Fundraising for repairing house and buying of new supplies for Masjid Barkat Orphanage center that burned down due to Fire accident