Okoa Maisha ya Janelle Onesmo Daniel

Okoa Maisha ya Janelle Onesmo Daniel

Reference No: 100200010


Ndugu watanzania wenzangu,

Kwa niaba ya Taasisi ya Doris Mollel,Clouds media group pamoja na familia ya bwana Onesmo Daniel,


Nipo hapa kwa unyenyekevu mkubwa na kwa heshima ya kipekee kuomba msaada wenu kusaidia kulipa gharama za matibabu za mtoto Janelle Onesmo Daniel, ambaye amezaliwa njiti.


Ndugu watanzania wenzangu kulingana na ripoti za hivi karibuni za UNICEF kila mwaka zaidi ya watoto 213,000 huzaliwa njiti nchini Tanzania, Kati ya watoto hawa wanaozaliwa njiti watoto 13,900 hupoteza maisha kila mwaka kutokana na changamoto ambazo zinajitokeza punde tu baada ya kuzaliwa.


Hapa nchini kwetu na duniani kwa ujumla,gharama za kutunza watoto njiti ni za hali ya juu mno Jambo ambalo linapelekea familia na jamiii kwa ujumla kushindwa kuhimili gharama hizo.


Mapema mwaka huu, familia ya bwana Onesmo Daniel ilibarikiwa kupata mapacha watatu ambao walizaliwa njiti .lakini kutokana na gharama za kuwatunza watoto hawa kuwa kubwa familia hii imeshindwa kuhimili gharama hizo Jambo ambalo limepelekea mapacha wawili Kati ya watatu waliozaliwa kupoteza maisha kutokana na kukosa huduma Bora za kiafya ambazo zingewasaidia waweze kukua na kuishi.


Takriban shillingi 100,000,000 za kitanzania zinahitajika kumsaidia mtoto Janelle Onesmo Daniel apate huduma bora za kiafya ambazo zitamsaidia aweze kukua na kuishi.


Kushirikiana na Taasisi ya Doris Mollel pamoja na Clouds media group tunahitaji wenu ambao utatusaidia kukusanya gharama za matibabu za takriban shillingi 100,000,000 za kitanzania ambazo zitasaidia kulipa bili za matibabu ya mtoto Janelle Onesmo Daniel.


Msaada wenu unahitajika kwa kiasi kikubwa ili kumsaidia mtoto Janelle Onesmo Daniel apate huduma Bora za kiafya ambazo zitasaidia aweze kukua na kuishi.

Donated: 1,560,729 TZS
Goal: 100,000,000 TZS
1.56% Donated
Donation time is due
Supporters: 242

Recent Donations

1 year ago Share


1 year ago Share


1 year ago Share


1 year ago Share


255677****95
1,000 TZS

1 year ago Share


255677****95
1,001 TZS

1 year ago Share


255677****95
1,000 TZS

1 year ago Share


255677****95
1,001 TZS

1 year ago Share


255677****95
1,000 TZS

1 year ago Share


255677****95
1,000 TZS

1 year ago Share


Doris Mollel Foundation

Social:   
https://www.linkedin.com/in/doris-mollel-aa611634/   +255719165970
   edward@dorismollelfoundation.org


The Doris Mollel Foundation is a nonprofit organization that deals in catering for the needs of the prematurely born. The Organization deals in providing equipment for use in premature wards within District hospitals in Tanzania by working with various stakeholders.

Leaderboard

1

115,000 TZS

255714****89 2 years ago
2

80,000 TZS

255767****18 2 years ago
3

50,000 TZS

255767****68 2 years ago
4

50,000 TZS

255713****26 2 years ago
5

50,000 TZS

255714****99 2 years ago
6

50,000 TZS

255756****59 2 years ago
7

50,000 TZS

255789****70 2 years ago
8

50,000 TZS

255756****43 2 years ago
9

50,000 TZS

255718****27 2 years ago
10

45,000 TZS

255755****18 2 years ago