
CHEKO LA MAMA
Reference No: 10020050
"Wanawake ni Jeshi kubwa"
Tuungane kufariji na kuleta kicheko kwa kina mama waliokatika mazingira magumu, vijijini na mijini. kila mama,anaetarajia kujifungua, anaenyonyesha, na anaelea katika mahitaji mbalimbali kama kanga, vitenge, nguo, toy za watoto, dippers, sabuni, vifaa mbalimbali za watoto,chakula etc
Hii itakua ni njia moja ya kuhakikisha kama jamii tunatua mzigo wa mawazo katika hiki kipindi cha uzazi na badala yake tunafanya mama arelax kulea mtoto kwa ufasaha kuanzia kwenye kunyonyesha, kula vizuri na kupumzika vzuri.
Ulichonacho hata kama ni kidogo kuna mtu huko nje anahitaji. Usitupe jalalani hicho kiatu unachoona kimembana mwanao, au hyo nguo iliyomruka, twaomba utuite tuje kuvichukua kwaajili ya faraja hii
Goal: 5,000,000 TZS
Recent Donations

100 TZS
5 years ago Share

107 TZS
5 years ago Share

101 TZS
5 years ago Share

103 TZS
5 years ago Share

103 TZS
5 years ago Share

103 TZS
5 years ago Share

103 TZS
5 years ago Share

103 TZS
5 years ago Share

103 TZS
5 years ago Share

120 TZS
5 years ago Share
CHEKO LA MAMA
Social:0659808000
Shomiermod@gmail.com
"Wanawake ni Jeshi kubwa" Tuungane kufariji na kuleta kicheko kwa kina mama waliokatika mazingira magumu, vijijini na mijini. kila mama,anaetarajia kujifungua, anaenyonyesha, na anaelea katika mahitaji mbalimbali kama kanga, vitenge, nguo, toy za watoto, dippers, sabuni, vifaa mbalimbali za watoto,chakula etc Hii itakua ni njia moja ya kuhakikisha kama jamii tunatua mzigo wa mawazo katika hiki kipindi cha uzazi na badala yake tunafanya mama arelax kulea mtoto kwa ufasaha kuanzia kwenye kunyonyesha, kula vizuri na kupumzika vzuri. Ulichonacho hata kama ni kidogo kuna mtu huko nje anahitaji. Usitupe jalalani hicho kiatu unachoona kimembana mwanao, au hyo nguo iliyomruka, twaomba utuite tuje kuvichukua kwaajili ya faraja hii.