
Msaada wa mashine ya umwagiliaji.
Reference No: 10021854
Habari yako kaka/dada?
Naitwa Joachim Joseph.
Najishughulisha Na kilimo cha umwagiliaji. Nimekuja hapa ili nipate mchango wa kipesa kwa ajili ya kununua mashine ya umwagiliaji. Kiasi kinacho hitajika in Tsh 1,000,000. Ndugu naomba msaada wako kwa kunichangia kwa kufuata maelezo ya kuchangia hapo chini.
Natanguliza shukurani zangu.
Goal: 1,000,000 TZS
Recent Donations

2,000 TZS
4 years ago Share

1,000 TZS
4 years ago Share

2,500 TZS
4 years ago Share

950 TZS
4 years ago Share

1,350 TZS
4 years ago Share

Joackim Joseph
Social:0765936964
yoseanthony@gmail.com
Nampenda mungu