Rambirambi kwa familia ya Akwilina Akwilin

Rambirambi kwa familia ya Akwilina Akwilin

Reference No: 10020301


Akwilina Akwilini alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Akwilina alifariki tarehe 16/02/2017 kwa kupigwa risasi wakati ambao askari wa Jeshi la Polisi walirusha risasi kutawanya waandamanaji waliohusishwa na shughuli za kampeni za Uchaguzi Mdogo wa marudio wa Ubunge katika jimbo la Kinondoni. Akwilina, akitokea katika familia ya mtanzania wa kawaida kabisa, alikuwa ni tumaini la familia. Kama Watanzania wenzake, tunaamini ni muhimu kusaidia kufuta machozi kwa ndugu, na familia ya Akwilini kwa kuwawezesha kwa kile kidogo tulichojaaliwa nacho, ingawa utoaji huu hautoondoa ukweli kwamba hatuwezi kumrudisha aliyetutoka, lakini utaleta maana ya upendo, mshikamano na umoja wa Kitanzania wakati wa matatizo kama ilivyo wakati wa furaha. Hivyo basi, tunakuomba uungane na wazazi na familia ya Akwilina kwa kuchangia kidogo ulichojaaliwa kuwezesha mipango ya mazishi na maombolezo ya mpendwa wao, ambaye pia ni mpendwa wetu kwakuwa Akwilina alitokea familia ya chini, na familia ilikua inamtegemea aje kuwakomboa pindi amalizapo masomo yake ya Chuo. Mchango huu unaratibiwa na, Bi Segolena Richard Wisso (+255765171191), ambaye ni Mama Mlezi wa Marehemu Akwilina Akwilini Upumzike kwa Amani, Akwilina Akwilin

Update 1

Posted by Segolena Richard Wisso
3 years ago
TAARIFA:
Kumekuwa na mkanganyiko ndani ya familia kuhusu uchangishwaji wa Rambirambi kwaajili ya msiba wa Akwilina Akwilini kupitia mtandaoni. Utaratibu huu wa rambirambi ulishauriwa kama njia rahisi na ya wazi na ambayo haitomsumbua mfiwa. Mama Mlezi, Segolena Richard Wisso, (+255 765 171 191) alishirikishwa na @carolndosi na namba ya Mama Mlezi ndio imetumika kufungua account ya michango.

HATMA: Tumeamua kusitisha uchangishaji kwasasa kutonana na kutoelewana kwa ndugu na mkanganyiko ndani ya familia. Timu iliyosaidia kupaza sauti ili kuwapa watu walioguswa fursa ya kuchanga iko wakati huu msibani kusubiri muafaka.

Baada ya muafaka huo, aidha fedha zitakabidhiwa kwa familia au kurudishwa (reverse transactions) kwa waliochanga.

Tutaendelea kuwajuza kadiri ya taarifa zinavyoingia. Poleni kwa usumbufu.

WEZESHAsasa Team,

Kwa niaba ya walioshiriki kuandaa michango hii.
Donated: 449,500 TZS
Goal: 5,000,000 TZS
8.99% Donated
Donation time is due
Supporters: 121

Recent Donations

255713****66
1,000 TZS

2 years ago Share


255713****66
1,000 TZS

2 years ago Share


255713****85
1,000 TZS

2 years ago Share


255713****85
1,000 TZS

2 years ago Share


255713****85
1,000 TZS

2 years ago Share


255713****85
1,000 TZS

2 years ago Share


255718****29
1,000 TZS

2 years ago Share


255713****73
1,000 TZS

2 years ago Share


255713****85
1,000 TZS

2 years ago Share


255713****85
1,000 TZS

2 years ago Share


Segolena Richard Wisso

Social:   
  +255765171191
   taarifa@wezeshasasa.com


Mama mzazi wa Marehemu Akwilina Akwilin

Leaderboard

1

50,000 TZS

255762****44 3 years ago
2

15,000 TZS

255655****50 3 years ago
3

12,000 TZS

255753****00 3 years ago
4

10,000 TZS

255654****20 3 years ago
5

10,000 TZS

255768****43 3 years ago
6

10,000 TZS

255769****67 3 years ago
7

10,000 TZS

255769****37 3 years ago
8

10,000 TZS

255655****11 3 years ago
9

10,000 TZS

255713****79 3 years ago
10

10,000 TZS

255713****40 3 years ago