Shuhuda za watumiaji wetu


Watu wanavyosema kuhusu sisi.

Jamaa wako so transparent n trustworthy aisee...wamenipigia simu mchana wa leo na wakanambia refunding through Airtel money takes long so wananitumia their very own wao wataendelea na in a mo wakanitumia. Kudos @wezeshasasa

— Issa Hatibu (@IssaHatibu) February 22, 2018

 

Ahsante @wezeshasasa nimepata rejesho... nia yetu ilikuwa njema. Keep up the good job. Jah bless ✌

— Francis Mwamtoto (@FrancisMwamtoto) February 23, 2018

 

Binafsi nimekoshwa mno na @wezeshasasa ilivyo wazi na uhakika ktk kukusanya fedha za wadau na kuwasaidia wanaostahili.
Dada @CarolNdosi