Narudisha Tabasamu

Narudisha Tabasamu

Kumb Na: 180180


John Paulo Edward Waziri alizaliwa miaka 18 iliopita. Mama yake mzazi na John alifariki wakati John ana miaka 3. Baba yake John ndio kalibeba jukumu la kumlea hadi hii leo. Kijana John alifanikiwa kumaliza shule ya msingi na kufaulu kwenda sekondari. Alikwenda kusoma sekondari Kawe Ukwamani ambapo alisoma mpaka kidato cha pili.

Hali ngumu ya maisha ndio ilimfanya John kushindwa kuendelea na masomo kwani alipokuwa kidato cha pili John alipata tatizo la moyo ambalo mpaka leo hii linamsababishia uvimbe tumboni kila kukicha. Kutokana na hali duni ya uchumi kwao, John anasumbuka mpaka leo. Kila mwenye afya njema hakosi tabasamu, lakini John amepoteza tabasamu na kukata tamaa ya maisha kutokana na afya yake kuwa mbaya na hali ya uchumu wa familia kuwa mbaya.

Ungana na Choice FM 102.5 kupitia MWB – Mji wa Burudani kurudisha tabasamu la John. Tunarudisha tabasamu la John kwa kuchangisha kiasi kisichopungua milioni 4 kwa ajili ya matibabu ya John. Fedha zitakazo patikana zitatumika kurudisha tabasamu la John na atarudi katika hali yake ya kawaida na vile vile ataweza kutimiza ndoto zake.Taarifa 1

Imeandikwa na Godluck Akyoo
about 1 year ago

Feza Kessy, Idris Sultan na Tei ze Best wa MWBMji wa Burudani ya Choice FM 102.5, kwa niaba ya familia ya bwana John Waziri, tunatoa shukrani za dhati kwa wote ambao mmejitolea kwa hali na mali kufanikisha matibabu. Waswahili tunasema haba na haba hujaza kibaba, hivyo tunayo furaha tele kwa vile kibaba chetu kimejaa na zaidi. 

Jakaya Kikwete Cardiac Institute imempokea John na tayari ameanza matibabu ya awali kabla ya kufanyiwa upasuaji (kama picha inavyoonekana hapo chini). 

Wewe uliechanga, tambua ya kwamba mchango wako una thamani kubwa sana na unafanya kazi ya kurudisha tabasamu la John. 

Mungu awabariki wote, awafanyie wepesi katika harakati zenu za kila siku.

John-Paulo-Edward-Waziri


Zimechangwa: 2,111,901 TZS
Lengo: 5,000,000 TZS
42.24% Imechangwa
Zimebaki Siku: 0
Wawezeshaji: 440

Michango ya hivi karibuni

1,000TZS

255655****64

about 1 year ago


500TZS

255653****05

about 1 year ago


2,000TZS

255763****00

about 1 year ago


500TZS

255652****91

about 1 year ago


228,000TZS

255714****07

about 1 year ago


500TZS

255787****88

about 1 year ago


1,000TZS

255714****07

about 1 year ago


1,000TZS

255766****39

about 1 year ago


5,000TZS

255754****90

about 1 year ago


1,000TZS

255655****50

about 1 year agoJohn Paulo Edward Waziri

  0745600200
   ojnjaidi@outlook.com
  


John Paulo Edward Waziri alizaliwa miaka 18 iliopita. Mama yake mzazi na John alifariki wakati John ana miaka 3. Baba yake John ndio kalibeba jukumu la kumlea hadi hii leo.
Kijana John alifanikiwa kumaliza shule ya msingi na kufaulu kwenda sekondari. Alikwenda kusoma sekondari Kawe Ukwamani ambapo alisoma mpaka kidato cha pili.
Hali ngumu ya maisha ndio ilimfanya John kushindwa kuendelea na masomo. Alipokuwa kidato cha pili John alipata tatizo la moyo ambalo mpaka leo hii linamsababishia uvimbe tumboni kila kukicha. Kutokana na hali duni ya uchumi kwao, John anasumbuka mpaka leo.
Kila mwenye afya njema hakosi tabasamu, lakini John amepoteza tabasamu na kukata tamaa ya maisha kutokana na afya yake kuwa mbaya na hali ya uchumu wa familia kuwa mbaya.
Ungana na Choice FM 102.5 kupitia MWB – Mji wa Burudani kurudisha tabasamu la John. Tunarudisha tabasamu la John kwa kuchangisha kiasi kisichopungua milioni 4 kwa ajili ya matibabu ya John.
Fedha zitakazo patikana zitatumika kurudisha tabasamu la John na atarudi katika hali yake ya kawaida na vile vile ataweza kutimiza ndoto zake.

Wanaoongoza

1

228,000 TZS

255714****07 about 1 year ago

2

100,000 TZS

255715****57 about 1 year ago

3

51,000 TZS

255677****98 about 1 year ago

4

50,000 TZS

255714****17 about 1 year ago

5

50,000 TZS

255655****78 about 1 year ago

6

50,000 TZS

255765****96 about 1 year ago

7

30,000 TZS

255715****11 about 1 year ago

8

30,000 TZS

255754****58 about 1 year ago

9

30,000 TZS

255718****13 about 1 year ago

10

25,000 TZS

255712****22 about 1 year ago

Namna ya Kuchangia

Kwa Kutumia TIGO PESA

 • piga *150*01#
 • Chagua 4: Lipia Bili
 • Chagua 3: "Ingiza namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 180180
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Kwa Kutumia VODACOM M-PESA

 • Piga *150*00#
 • Chagua 4: LIPA kwa M-Pesa
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 180180
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala
Kwa Kutumia AIRTEL MONEY

 • Piga *150*60#
 • Chagua 5: Lipia Bili
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 180180
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Zingatia: Baada ya kukamilisha mchango wako, utapokea UJUMBE mfupi wenye namba ya utambulisho wa mchango wako kutoka WEZESHAsasa. Tafadhali itunze namba hiyo kwani ni siri yako.