Kumb Na: 500500
Ndugu watanzania, ukurasa huu ni maalumu kwaajili makusanyo ya rambirambi ya msiba wa wanafunzi (32), walimu (2) na dereva (1) katika ajali iliyotokea Jijini Arusha, katika msafara wa shule yetu ya Lucky Vincent ya Arusha ambapo walikuwa wakienda kufanya mtihani wa kujipima uwezo na wanafunzi wa shule ya Tumaini Junior School iliyopo Karatu.
Pesa zote zinapokelewa moja kwa moja na kuratibiwa na uongozi wa shule. Mchango huu kwa sasa utaelekezwa kwa ajili ya rambirambi kwa wafiwa wote na kuratibu shughuli nyingine za mziba.
Kwa mawasiliano zaidi:
Mr. Jackson Ephraim 0756779097 (Mkuu wa Shule, Lucky Vincent)
Mr. Michael Riziki 0768965001 (Mratibu wa Rambirambi)
Kwa msaada wa namna ya kutumia mfumo huu wa uchangiaji piga 0752030032.
255768****01 about 1 year ago
255769****26 about 1 year ago
255767****87 about 1 year ago
255717****37 about 1 year ago
255767****60 about 1 year ago
255767****60 about 1 year ago
255784****37 about 1 year ago
255742****36 about 1 year ago
255658****85 about 1 year ago
255756****58 about 1 year ago
Zingatia: Baada ya kukamilisha mchango wako, utapokea UJUMBE mfupi wenye namba ya utambulisho wa mchango wako kutoka WEZESHAsasa. Tafadhali itunze namba hiyo kwani ni siri yako.