Kuchapisha Gazeti la Afya

Kuchapisha Gazeti la Afya

Kumb Na: 264970


Timu nzima ya TanzMED imekuwa ikiendelea kutoa maarifa kwa njia ya Mtandao. Lengo letu ni kuhakikisha jamii ya Tanzania inakuwa na Afya bora kwa kuongeza uelewa na maarifa ya Afya.

Katika kuhakikisha tunawafikia watu wengi zaidi, ukiacha na kutoa maarifa ya Afya kwa njia ya Website na Moile Application, TanzMED tumeandaa gazeti la maarifa ya Afya kwa Kiswahili ambalo tunazamilia liwafikie wananchi wote, haswa wale wasiokuwa na nafasi au uwezo wa kusoma kwenye mtandao.

Gazeti hili litakuwa linatolewa bure na kusambazwa kwenye Vituo vya Afya, Hospitali, Zahanati, maduka ya madawa, ofisi za serikali, mahoteli na sehemu zote zenye mjumuiko wa watu nchi nzima.

Makala zote zimeandikwa na wataalamu kutoka fani z Afya na Lishe zenye mlengo wa KiTanzania kama inavyoonekana kwenye www.tanzmed.co.tz

Hakuna taarifa mpya kuhusu kampeni hii kwa sasa

Zimechangwa: 5,160 TZS
Lengo: 6,000,000 TZS
0.09% Imechangwa
Zimebaki Siku: 0
Wawezeshaji: 2

Michango ya hivi karibuni

160TZS

Godluck Akyoo

about 1 year ago


5,000TZS

Mkata Nyoni

about 1 year agoTanzMED

  0787042152
   info@tanzmed.co.tz
  https://www.tanzmed.co.tz


TanzMED ni tovuti yenye mjumuiko wa wataalamu wa fani mbalimbali za Afya na IT wa kiTanzania ambao wamejitoa katika kuhakikisha kuwa jamii inafaidika kwa kupata maarifa na ushauri juu ya masuala ya Afya kwa kutumia teknolojia ya Tehama.

Lengo kuu la TanzMED ni kuleta mwamko kwa Watanzania katika kufahamu umuhimu wa kuwa na Afya bora kwa njia ya mawasiliano ya mtandao. TanzMED imedhamiria kuwa chanzo kimojawapo cha habari, elimu, taarifa, ushauri na mengi mengineyo yahusuyo afya.

TanzMED inapatika kwenye Website, Mobile Application na Sasa Tunajiandaa kuanza kuchapisha gazeti ambalo litakuwa linatoka kila baada ya miezi mitatu.

Wanaoongoza

1

5,000 TZS

Mkata Nyoni about 1 year ago

2

160 TZS

Godluck Akyoo about 1 year ago

Namna ya Kuchangia

Kwa Kutumia TIGO PESA

 • piga *150*01#
 • Chagua 4: Lipia Bili
 • Chagua 3: "Ingiza namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 264970
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Kwa Kutumia VODACOM M-PESA

 • Piga *150*00#
 • Chagua 4: LIPA kwa M-Pesa
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 264970
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala
Kwa Kutumia AIRTEL MONEY

 • Piga *150*60#
 • Chagua 5: Lipia Bili
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 264970
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Zingatia: Baada ya kukamilisha mchango wako, utapokea UJUMBE mfupi wenye namba ya utambulisho wa mchango wako kutoka WEZESHAsasa. Tafadhali itunze namba hiyo kwani ni siri yako.