Kuchapisha Gazeti la Afya

Kuchapisha Gazeti la Afya

Reference No: 264970


Timu nzima ya TanzMED imekuwa ikiendelea kutoa maarifa kwa njia ya Mtandao. Lengo letu ni kuhakikisha jamii ya Tanzania inakuwa na Afya bora kwa kuongeza uelewa na maarifa ya Afya. Katika kuhakikisha tunawafikia watu wengi zaidi, ukiacha na kutoa maarifa ya Afya kwa njia ya Website na Moile Application, TanzMED tumeandaa gazeti la maarifa ya Afya kwa Kiswahili ambalo tunazamilia liwafikie wananchi wote, haswa wale wasiokuwa na nafasi au uwezo wa kusoma kwenye mtandao. Gazeti hili litakuwa linatolewa bure na kusambazwa kwenye Vituo vya Afya, Hospitali, Zahanati, maduka ya madawa, ofisi za serikali, mahoteli na sehemu zote zenye mjumuiko wa watu nchi nzima. Makala zote zimeandikwa na wataalamu kutoka fani z Afya na Lishe zenye mlengo wa KiTanzania kama inavyoonekana kwenye www.tanzmed.co.tz

Donated: 5,160 TZS
Goal: 6,000,000 TZS
0.09% Donated
Donation time is due
Supporters: 2

Recent Donations

1 year ago Share


Mkata Nyoni
5,000 TZS

1 year ago Share


TanzMED

Social:   
  0787042152
   info@tanzmed.co.tz


TanzMED ni tovuti yenye mjumuiko wa wataalamu wa fani mbalimbali za Afya na IT wa kiTanzania ambao wamejitoa katika kuhakikisha kuwa jamii inafaidika kwa kupata maarifa na ushauri juu ya masuala ya Afya kwa kutumia teknolojia ya Tehama. Lengo kuu la TanzMED ni kuleta mwamko kwa Watanzania katika kufahamu umuhimu wa kuwa na Afya bora kwa njia ya mawasiliano ya mtandao. TanzMED imedhamiria kuwa chanzo kimojawapo cha habari, elimu, taarifa, ushauri na mengi mengineyo yahusuyo afya. TanzMED inapatika kwenye Website, Mobile Application na Sasa Tunajiandaa kuanza kuchapisha gazeti ambalo litakuwa linatoka kila baada ya miezi mitatu.

Leaderboard

1

5,000 TZS

Mkata Nyoni 1 year ago
2

160 TZS

Mkata Nyoni 1 year ago