Msaada kwa Fruitful Orphanage and Daycare centre

Msaada kwa Fruitful Orphanage and Daycare centre

Kumb Na: 176542


Hi Friends! Nimeanzisha hii campaign kwa ajili ya kusaidia watoto yatima waliopoko kwenye kituo cha Fruitful Orphanage and Daycare Centre. Kiasi chote kitapelekwa kwenye kituo ilikusaidia watoto upande wa chakula.

Nitashukuru kwa mchango wowote utakaochangwa.

Hakuna taarifa mpya kuhusu kampeni hii kwa sasa

Zimechangwa: 0 TZS
Lengo: 50,000 TZS
0.00% Imechangwa
Zimebaki Siku: 0
Wawezeshaji: 0

Michango ya hivi karibuni

Kuwa wa kwanza kuchangia

Charles Moses

  0768726893
   charlesmoses733@gmail.com
  


Naitwa Charles Moses,naishi Arusha.

Wanaoongoza

No learderboard at the moment, donate to be the first here.

Namna ya Kuchangia

Kwa Kutumia TIGO PESA

 • piga *150*01#
 • Chagua 4: Lipia Bili
 • Chagua 3: "Ingiza namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 176542
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Kwa Kutumia VODACOM M-PESA

 • Piga *150*00#
 • Chagua 4: LIPA kwa M-Pesa
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 176542
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala
Kwa Kutumia AIRTEL MONEY

 • Piga *150*60#
 • Chagua 5: Lipia Bili
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 176542
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Zingatia: Baada ya kukamilisha mchango wako, utapokea UJUMBE mfupi wenye namba ya utambulisho wa mchango wako kutoka WEZESHAsasa. Tafadhali itunze namba hiyo kwani ni siri yako.