RUDISHA TABASAMU LA ARNOLD

RUDISHA TABASAMU LA ARNOLD

Kumb Na: 303030


Naitwa Arnold Augustine, nina miaka 25, ni yatima, ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa 5 katika chuo cha tiba KCMC Moshi. Niligundulika kuwa na ugonjwa wa figo kushindwa kufanya kazi (Chronic Renal Failure) na nimekuwa nikifanyiwa uchujaji wa damu kwa kutumia mashine maalum (Hemodialysis). Matibabu ya moja kwa moja ya ugonjwa huu ni kupandikizwa figo. Niwashukuru sana wanafunzi wenzangu, uongozi wa chuo na hospitali kwa msaada wao mpaka nilipofikia. Nawaomba sana watanzania mnisaidie kunichangia ili niweze kufanyiwa upandishaji huo. ASANTENI SANA NA MUNGU AWABIRIKI.

NB: Michango hii ya mtandaoni inaratibiwa na Gideon Barongo (0765023986) kwa ruhusa yangu Arnold Augustine (0766693883)

Hakuna taarifa mpya kuhusu kampeni hii kwa sasa

Zimechangwa: 1,152,300 TZS
Lengo: 30,000,000 TZS
3.84% Imechangwa
Zimebaki Siku: 41
Wawezeshaji: 84

Michango ya hivi karibuni

15,000TZS

255757****26

3 hours ago


500TZS

Josephat Mandara

6 days ago


1,000TZS

255768****58

17 days ago


10,000TZS

255783****48

18 days ago


30,000TZS

255656****43

19 days ago


50,000TZS

255756****97

19 days ago


20,000TZS

255744****44

22 days ago


3,000TZS

255766****82

22 days ago


5,000TZS

255767****10

23 days ago


10,000TZS

255688****23

23 days agoArnold Augustine

  0765023986
   giddykb@gmail.com
  


Ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa 5 chuocha utibabu KCMC Moshi mwenye tatizo la ugonjwa wa FIGO kushindwa kufanya kazi. Nimekuwa nikifanyiwa uchujaji wa damu (Hemodyalysis) mara 3 kwa mwezi. Matibabu ya ugonjwa huu ni kupandikizwa figo. Naomba sana mchango wako kuwezesha matibabu yangu na kuweza kupandikizwa figo.

Wanaoongoza

1

200,000 TZS

255762****44 26 days ago

2

100,000 TZS

255762****30 26 days ago

3

50,000 TZS

255755****22 24 days ago

4

50,000 TZS

255754****64 26 days ago

5

50,000 TZS

255755****48 26 days ago

6

50,000 TZS

255756****97 19 days ago

7

40,000 TZS

255757****90 26 days ago

8

30,000 TZS

255656****43 19 days ago

9

30,000 TZS

255754****97 26 days ago

10

28,000 TZS

255782****55 25 days ago

Namna ya Kuchangia

Kwa Kutumia TIGO PESA

 • piga *150*01#
 • Chagua 4: Lipia Bili
 • Chagua 3: "Ingiza namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 303030
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Kwa Kutumia VODACOM M-PESA

 • Piga *150*00#
 • Chagua 4: LIPA kwa M-Pesa
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 303030
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala
Kwa Kutumia AIRTEL MONEY

 • Piga *150*60#
 • Chagua 5: Lipia Bili
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 303030
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Zingatia: Baada ya kukamilisha mchango wako, utapokea UJUMBE mfupi wenye namba ya utambulisho wa mchango wako kutoka WEZESHAsasa. Tafadhali itunze namba hiyo kwani ni siri yako.