I LOVE UNIVERSITY

I LOVE UNIVERSITY

Reference No: 655284


Habari Watanzania Kwa Majina Naitwa Peter Ruben Suguni. (YATIMA) Muhitimu wa Kidato cha Sita Pius Mswekwa High School 2018 Mwanza Ukerewe. Nimeanzisha Kampeni hii Kwa Lengo la Kupata Kiasi cha Fedha Kuwezesha Mimi Kuendelea na Masomo ya Elimu ya Juu Pindi Matokeo yatakapo Toka. Nia yangu ni Kusomea masomo ya Uhandisi wa Majengo (Civil Engineering) na hapo baadae niweze kulitumikia Taifa Langu. Asante nawasilisha kwenu.

Donated: 0 TZS
Goal: 5,000,000 TZS
0.00% Donated
Donation time is due
Supporters: 0

Recent Donations

I LOVE UNIVERSITY

Social:   
  0743328227
   romieravino26@gmail.com


Mchango wa Kuendelea na Masomo ya Elimu ya Juu.

Leaderboard