Oparesheni ya Kubadilisha Figo - Mw. Zabihu Hassan

Oparesheni ya Kubadilisha Figo - Mw. Zabihu Hassan

Reference No: 160180


Mimi naitwa Mwl Zabihu (Zabihu Anderson Hassan). Nina umwa sana na ninaomba msaada wa kifedha Tshs millioni thelasini (30,000,000/= tu kwa ajili ya matibabu ya figo zangu zote. Figo zangu zote hazifanyi kazi. Madaktari bingwa wa figo wa muhimbili walipokaa meza moja pamoja na mimi mwezi nne 2017 wakanishauri nifanyiwe upandikizaji wa figo (kidney transplant).

Donated: 20,000 TZS
Goal: 30,000,000 TZS
0.07% Donated
Donation time is due
Supporters: 1

Recent Donations

255713****20
20,000 TZS

1 year ago Share


Mwl Zabihu

Social:   
  0742007220
   zabihuander12@gmail.com


Jina Kamili: Zabihu Anderson Hassan. Wasifu: Nimewahi kuwa mkuu wa shule na kufudisha shule ya msingi Gangilonga, Sabasaba

Leaderboard

1

20,000 TZS

255713****20 1 year ago