Mchango wa Operesheni ya Figo - Mwl. Kisese

Mchango wa Operesheni ya Figo - Mwl. Kisese

Kumb Na: 252525


Mimi naitwa mwalimu Kisese ( Charles Kisese), naumwa sana na ninaomba msaada wa kifedha.

Figo zote mbili hazifanyi kazi, moyo umetanuka na maini yamevimba. Madaktari bingwa wa figo na moyo wa Muhimbili walipokaa meza moja pamoja nami mwezi huu wa pili 2018, wamesema madhara yote hayo chanzo ni figo kutofanya kazi, wakashauri nifanyiwe upandikizaji wa figo ( Kidney transplant) kwanza. Gharama za upasuaji pamoja na Figo ni Milioni 25, (25,000,000/-). Natarajiwa kufanyiwa operesheni mwezi wa nne katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Gharama hiyo ni kubwa na nashindwa kuibeba maana nimeumwa Kwa muda mrefu, tangu 2015. Kwa ujumbe huu nakuomba ndugu yangu unichangie kiasi chochote utakachojaliwa ili kupata fedha hizo Kwa wakati. Nisaidie pia kuwafikishia watu wengine taarifa hizi.

Mungu akubariki sana.

Kwa sasa hivi ninaishi Kimara, Dar es Salaam. Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana: Mwl. Kisese 0755811967 au 0711629415. Pia unaweza kuwasiliana na Mke Wangu 0756542303

Hakuna taarifa mpya kuhusu kampeni hii kwa sasa

Zimechangwa: 2,489,400 TZS
Lengo: 25,000,000 TZS
9.96% Imechangwa
Zimebaki Siku: 0
Wawezeshaji: 52

Michango ya hivi karibuni

1,027,000TZS

255766****10

10 months ago


100,000TZS

255716****04

10 months ago


200,000TZS

255716****04

10 months ago


15,000TZS

255758****30

10 months ago


10,000TZS

255713****98

11 months ago


5,000TZS

255766****63

11 months ago


50,000TZS

255713****53

11 months ago


10,000TZS

255754****16

11 months ago


10,000TZS

255753****92

11 months ago


237,000TZS

255755****22

11 months agoMwl. Charles Kisese

  0755811967
   taarifa@wezeshasasa.com
  


Mimi naitwa mwalimu Kisese ( Charles Kisese), naumwa.

Figo zote mbili hazifanyi kazi, moyo umetanuka na maini yamevimba. Madaktari bingwa wa figo na moyo wa Muhimbili walipokaa meza moja pamoja nami mwezi huu wa pili 2018, wamesema madhara yote hayo chanzo ni figo kutofanya kazi, wakashauri nifanyiwe upandikizaji wa figo ( Kidney transplant) kwanza. Gharama za upasuaji pamoja na Figo ni sh. Million ( 25,000,000/-).

Gharama hiyo ni kubwa na nashindwa kuibeba maana nimeumwa Kwa muda mrefu, tangu 2015. Kwa ujumbe huu nakuomba ndugu yangu unichangie kiasi chochote utakachojaliwa ili kupata fedha hizo Kwa wakati. Mungu akubariki sana.

Kwa sasa hivi ninaishi Kimara Dar es Salaam.

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana: Mwl. Kisese 0755811967 au 0711629415. Pia unaweza kuwasiliana na Mke Wangu 0756542303

Wanaoongoza

1

1,027,000 TZS

255766****10 10 months ago

2

237,000 TZS

255755****22 11 months ago

3

200,000 TZS

255716****04 10 months ago

4

100,000 TZS

255765****07 12 months ago

5

100,000 TZS

255752****42 12 months ago

6

100,000 TZS

255716****04 10 months ago

7

60,000 TZS

255768****19 12 months ago

8

50,000 TZS

255754****22 11 months ago

9

50,000 TZS

255787****88 12 months ago

10

50,000 TZS

255713****53 11 months ago

Namna ya Kuchangia

Kwa Kutumia TIGO PESA

 • piga *150*01#
 • Chagua 4: Lipia Bili
 • Chagua 3: "Ingiza namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 252525
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Kwa Kutumia VODACOM M-PESA

 • Piga *150*00#
 • Chagua 4: LIPA kwa M-Pesa
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 252525
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala
Kwa Kutumia AIRTEL MONEY

 • Piga *150*60#
 • Chagua 5: Lipia Bili
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 252525
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Zingatia: Baada ya kukamilisha mchango wako, utapokea UJUMBE mfupi wenye namba ya utambulisho wa mchango wako kutoka WEZESHAsasa. Tafadhali itunze namba hiyo kwani ni siri yako.