Rambirambi kwa familia ya Akwilina Akwilin

Rambirambi kwa familia ya Akwilina Akwilin

Kumb Na: 160160


Akwilina Akwilini alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Akwilina alifariki tarehe 16/02/2017 kwa kupigwa risasi wakati ambao askari wa Jeshi la Polisi walirusha risasi kutawanya waandamanaji waliohusishwa na shughuli za kampeni za Uchaguzi Mdogo wa marudio wa Ubunge katika jimbo la Kinondoni.

Akwilina, akitokea katika familia ya mtanzania wa kawaida kabisa, alikuwa ni tumaini la familia. Kama Watanzania wenzake, tunaamini ni muhimu kusaidia kufuta machozi kwa ndugu, na familia ya Akwilini kwa kuwawezesha kwa kile kidogo tulichojaaliwa nacho, ingawa utoaji huu hautoondoa ukweli kwamba hatuwezi kumrudisha aliyetutoka, lakini utaleta maana ya upendo, mshikamano na umoja wa Kitanzania wakati wa matatizo kama ilivyo wakati wa furaha.

Hivyo basi, tunakuomba uungane na wazazi na familia ya Akwilina kwa kuchangia kidogo ulichojaaliwa kuwezesha mipango ya mazishi na maombolezo ya mpendwa wao, ambaye pia ni mpendwa wetu kwakuwa Akwilina alitokea familia ya chini, na familia ilikua inamtegemea aje kuwakomboa pindi amalizapo masomo yake ya Chuo.

Mchango huu unaratibiwa na, Bi Segolena Richard Wisso (+255765171191), ambaye ni Mama Mlezi wa Marehemu Akwilina Akwilini

Upumzike kwa Amani, Akwilina Akwilin

Taarifa 1

Imeandikwa na Segolena Richard Wisso
about 1 year ago
TAARIFA: Kumekuwa na mkanganyiko ndani ya familia kuhusu uchangishwaji wa Rambirambi kwaajili ya msiba wa Akwilina Akwilini kupitia mtandaoni. Utaratibu huu wa rambirambi ulishauriwa kama njia rahisi na ya wazi na ambayo haitomsumbua mfiwa. Mama Mlezi, Segolena Richard Wisso, (+255 765 171 191) alishirikishwa na @carolndosi na namba ya Mama Mlezi ndio imetumika kufungua account ya michango. HATMA: Tumeamua kusitisha uchangishaji kwasasa kutonana na kutoelewana kwa ndugu na mkanganyiko ndani ya familia. Timu iliyosaidia kupaza sauti ili kuwapa watu walioguswa fursa ya kuchanga iko wakati huu msibani kusubiri muafaka. Baada ya muafaka huo, aidha fedha zitakabidhiwa kwa familia au kurudishwa (reverse transactions) kwa waliochanga. Tutaendelea kuwajuza kadiri ya taarifa zinavyoingia. Poleni kwa usumbufu. WEZESHAsasa Team, Kwa niaba ya walioshiriki kuandaa michango hii.
Zimechangwa: 436,500 TZS
Lengo: 5,000,000 TZS
8.73% Imechangwa
Zimebaki Siku: 0
Wawezeshaji: 106

Michango ya hivi karibuni

500TZS

255764****75

about 1 year ago


2,000TZS

255744****12

about 1 year ago


2,000TZS

255754****85

about 1 year ago


2,000TZS

255762****60

about 1 year ago


2,000TZS

255769****89

about 1 year ago


1,000TZS

255755****59

about 1 year ago


1,000TZS

255755****98

about 1 year ago


10,000TZS

255762****80

about 1 year ago


1,000TZS

255764****62

about 1 year ago


5,000TZS

255656****83

about 1 year agoSegolena Richard Wisso

  +255765171191
   taarifa@wezeshasasa.com
  


Mama mzazi wa Marehemu Akwilina Akwilin

Wanaoongoza

1

50,000 TZS

255762****44 about 1 year ago

2

15,000 TZS

255655****50 about 1 year ago

3

12,000 TZS

255753****00 about 1 year ago

4

10,000 TZS

255654****20 about 1 year ago

5

10,000 TZS

255768****43 about 1 year ago

6

10,000 TZS

255769****67 about 1 year ago

7

10,000 TZS

255769****37 about 1 year ago

8

10,000 TZS

255655****11 about 1 year ago

9

10,000 TZS

255713****79 about 1 year ago

10

10,000 TZS

255713****40 about 1 year ago

Namna ya Kuchangia

Kwa Kutumia TIGO PESA

 • piga *150*01#
 • Chagua 4: Lipia Bili
 • Chagua 3: "Ingiza namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 160160
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Kwa Kutumia VODACOM M-PESA

 • Piga *150*00#
 • Chagua 4: LIPA kwa M-Pesa
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 160160
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala
Kwa Kutumia AIRTEL MONEY

 • Piga *150*60#
 • Chagua 5: Lipia Bili
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 160160
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Zingatia: Baada ya kukamilisha mchango wako, utapokea UJUMBE mfupi wenye namba ya utambulisho wa mchango wako kutoka WEZESHAsasa. Tafadhali itunze namba hiyo kwani ni siri yako.