UJENZI WA SHULE MAALUMU YA WAATHIRIKA WA MIMBA ZA UTOTONI

UJENZI WA SHULE MAALUMU YA WAATHIRIKA WA MIMBA ZA UTOTONI

Kumb Na: 210210


Habari. Naitwa Carol Ndosi, ni Mtanzania mpenda maendeleo na haswa kumuinua mtoto wa kike, mwanamke na Kijana kwenye jamii. Julai 2017, mtoto wa kike aliyepata ujauzito alisisitiziwa marfuku kurudi shule ya serikali baada ya kujifungua na kuendelea na masomo yake.

Tunapoendelea na juhudi za kuhakikisha haki ya mtoto wa kike inalindwa, haswa haki ya elimu na kumaliza shule; hatuwezi kuwaacha wale waliothirika nyuma.
Mimba nyingi PIA za utotoni zinatokana na vitendo vya ubakaji na ndoa za utotoni. Wengi wa hawa waathirika wanatoka kwenye mazingira magumu sana. Kukatishwa kwa masomo kunazidi kuturudisha nyumba kama jamii na taifa kimaendeleo. Tunahitaji nguvu kazi ya kuendele kulijenga taifa hili.

Hawa walioathirika na mimba za utotoni ni nguvu kazi ya taifa.

Tumeamua kuwajengea shule Mamaendeleo Vocational Residential Academy ambayo itatoa mafunzo ya elimu yatakayomwezesha huyu mtoto wa kike kuendelea na ndoto zake na maarifa ya kuweza kuajiriwa au kujiajiri kwenye fani mbali mbali.

Sisi tuna kiwanja na nguvu kazi ya kuhakikisha tunafikia lengo hili. HATUWEZI wenyewe. Hili ni letu WOTE. Kumbuka zaidi ya 21% ya watoto wa kike kati ya miaka 15-19 hawamalizi shule kutokana na mimba kwa mujibu wa takwimu za NBS.

We need to do this for the girl child. The girl child who has been abused, abandoned forgotten and now banned.

Hakuna taarifa mpya kuhusu kampeni hii kwa sasa

Zimechangwa: 136,500 TZS
Lengo: 100,000,000 TZS
0.14% Imechangwa
Zimebaki Siku: 0
Wawezeshaji: 15

Michango ya hivi karibuni

5,000TZS

255763****70

10 months ago


2,500TZS

255764****32

11 months ago


10,000TZS

255713****99

11 months ago


10,000TZS

255766****44

11 months ago


10,000TZS

255713****81

12 months ago


2,500TZS

255713****77

12 months ago


25,000TZS

255755****35

12 months ago


7,000TZS

255656****27

about 1 year ago


50,000TZS

255743****63

about 1 year ago


5,000TZS

255764****76

about 1 year agoMamaendeleo Vocational Residential Academy

  +255677202000
   ndosicarol@gmail.com
  www.thelaunchpad.or.tz


Tunapoendelea na juhudi za kuhakikisha haki ya mtoto wa kike inalindwa, haswa haki ya elimu na kumaliza shule; hatuwezi kuwaacha wale waliothirika nyuma.
Mimba nyingi PIA za utotoni zinatokana na vitendo vya ubakaji na ndoa za utotoni. Wengi wa hawa waathirika wanatoka kwenye mazingira magumu sana. Kukatishwa kwa masomo kunazidi kuturudisha nyumba kama jamii na taifa kimaendeleo. Tunahitaji nguvu kazi ya kuendele kulijenga taifa hili.
Hawa walioathirika na mimba za utotoni ni nguvu kazi ya taifa.
Tumeamua kuwajengea shule Mamaendeleo Vocational Residential Academy, itatoa mafunzo ya elimu yatakayomwezesha huyu mtoto wa kike kuendelea na ndoto zake na maarifa ya kuweza kuajiriwa au kujiajiri kwenye fani mbali mbali.

Sisi tuna kiwanja na nguvu kazi ya kuhakikisha tunafikia lengo hili.HATUWEZI wenyewe. Hili ni letu WOTE. Kumbuka zaidi ya 21% ya watoto wa kike kati ya miaka 15-19 hawamalizi shule kutokana na mimba kwa mujibu wa takwimu za NBS.

We need to do this for the girl child. The girl child who has been abused, abandoned forgotten and now banned.

Wanaoongoza

1

50,000 TZS

255743****63 about 1 year ago

2

25,000 TZS

255755****35 12 months ago

3

10,000 TZS

255713****99 11 months ago

4

10,000 TZS

255766****44 11 months ago

5

10,000 TZS

255713****81 12 months ago

6

7,000 TZS

255656****27 about 1 year ago

7

5,000 TZS

255763****70 10 months ago

8

5,000 TZS

255764****76 about 1 year ago

9

5,000 TZS

255713****51 about 1 year ago

10

2,500 TZS

255713****77 12 months ago

Namna ya Kuchangia

Kwa Kutumia TIGO PESA

 • piga *150*01#
 • Chagua 4: Lipia Bili
 • Chagua 3: "Ingiza namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 210210
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Kwa Kutumia VODACOM M-PESA

 • Piga *150*00#
 • Chagua 4: LIPA kwa M-Pesa
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 210210
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala
Kwa Kutumia AIRTEL MONEY

 • Piga *150*60#
 • Chagua 5: Lipia Bili
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 210210
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Zingatia: Baada ya kukamilisha mchango wako, utapokea UJUMBE mfupi wenye namba ya utambulisho wa mchango wako kutoka WEZESHAsasa. Tafadhali itunze namba hiyo kwani ni siri yako.