Rudisha Furaha kwa Judith

Rudisha Furaha kwa Judith

Kumb Na: 161616


Judith Mushi ni binti mwenye miaka 20. Alizaliwa akina na changamoto ya ulemavu wa macho, kuongea, akili na tatizo la koo. kwasasa anaishi na mama yake tu Bi Hilda Mushi baada ya baba yake kufariki kwa ugonjwa wa kisukari. Judith alifanyiwa operesheni mara 6 hospitali ya Muhimbili na kuhamishiwa CCRBT. Anahitaji msaada wa chochote kubadili maisha yake. Mchango huu umelenga kumsaidia Judith kupata bima ya afya, matibabu na kuiwezesha familia yake ili iweze kumhudumia kwa urahisi.

Michango hii itasaidia pia kuiwezesha familia ya Judith kiuchumi na kuwatoa katika hali ya kuwa tegemezi waweze kuendelea kujitegemea katika kumhudumia Judith

Michango hii inaratibiwa na PLPDF, mawasiliano zaidi piga simu +255 713 889 861

Hakuna taarifa mpya kuhusu kampeni hii kwa sasa

Zimechangwa: 269,414 TZS
Lengo: 5,000,000 TZS
5.39% Imechangwa
Zimebaki Siku: 0
Wawezeshaji: 35

Michango ya hivi karibuni

4,500TZS

255764****19

about 1 year ago


10,000TZS

255713****72

about 1 year ago


20,000TZS

255756****22

about 1 year ago


10,000TZS

255785****38

about 1 year ago


2,000TZS

255653****88

about 1 year ago


18,000TZS

255687****00

about 1 year ago


5,000TZS

255715****39

about 1 year ago


1,200TZS

255764****19

about 1 year ago


3,000TZS

255767****12

about 1 year ago


5,000TZS

255767****43

about 1 year agoPLPDF - Peace Life for People with Disabilities Foundation

  0713889861
   sophiambeyela63@gmail.com
  


Taasisi isiyo ya kiserikali inayojihusisha na maswala mbalimbali ya kijamii kwa kusaidia jamii ya watu wenye mahitaji maalumu hasa kuisaidia jamii ya watu wenye hali ya ulemavu, Ikiwa na malengo ya kuwahamasisha kuinuka kiuchumi, kielimu, kiafya na kuwajengea uwezo wa kujikwamua kiuchumi.

Taasisi imesajiliwa chini ya wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto kwa namba NGO/009317

Wanaoongoza

1

30,000 TZS

255764****41 about 1 year ago

2

20,000 TZS

255767****30 about 1 year ago

3

20,000 TZS

255655****69 about 1 year ago

4

20,000 TZS

255756****22 about 1 year ago

5

18,000 TZS

255687****00 about 1 year ago

6

13,000 TZS

255764****19 about 1 year ago

7

11,000 TZS

255764****19 about 1 year ago

8

10,000 TZS

255785****38 about 1 year ago

9

10,000 TZS

255719****11 about 1 year ago

10

10,000 TZS

255656****06 about 1 year ago

Namna ya Kuchangia

Kwa Kutumia TIGO PESA

 • piga *150*01#
 • Chagua 4: Lipia Bili
 • Chagua 3: "Ingiza namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 161616
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Kwa Kutumia VODACOM M-PESA

 • Piga *150*00#
 • Chagua 4: LIPA kwa M-Pesa
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 161616
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala
Kwa Kutumia AIRTEL MONEY

 • Piga *150*60#
 • Chagua 5: Lipia Bili
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 161616
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Zingatia: Baada ya kukamilisha mchango wako, utapokea UJUMBE mfupi wenye namba ya utambulisho wa mchango wako kutoka WEZESHAsasa. Tafadhali itunze namba hiyo kwani ni siri yako.