MAMA YETU YU HAI

MAMA YETU YU HAI

Kumb Na: 430043


MAELEZO MAFUPI YA MRADI/KAMPENI
Katika harakati za kuboresha huduma za afya kwa wananchi wa maeneo ya vijijini, hospitali ya Rulenge imeonelea ni vema ishirikishe wadau na watu wote wenye mapenzi mema, katika kuharakisha mkakati wa ujenzi wa jengo jipya la huduma ya upasuaji kwa wakina mama wajawazito na watoto wachanga.

Kwa kipindi kirefu sasa kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa huduma yenye kukidhi haja kufuatia kutokuwepo kwa jengo lenye sifa. Kutokuwepo kwa jengo lenye kukidhi vigezo na vifaa tiba husika, wakati mwingine kumepelekea kutokea kwa vifo vya wakina mama na watoto hata baada ya upasuaji.

Ubora wa huduma ya wakina mama na watoto ni moja ya malengo yaliyomo ndani ya mpango mkakati wa hospitali wa 2017 -2022.

LENGO MAHUSUSI LA HARAMBEE
Harambee hii inatarajiwa kuwezesha kumalizia ujenzi wa nyumba ya kina mama wajawazito, upanuzi wa jengo la upasuaji na kuwezesha manunuzi ya vifaa tiba.

Hakuna taarifa mpya kuhusu kampeni hii kwa sasa

Zimechangwa: 196,400 TZS
Lengo: 43,834,532 TZS
0.45% Imechangwa
Zimebaki Siku: 0
Wawezeshaji: 16

Michango ya hivi karibuni

100TZS

255752****23

about 1 year ago


2,000TZS

255769****91

about 1 year ago


200TZS

255755****71

about 1 year ago


100TZS

255767****15

about 1 year ago


1,000TZS

255752****48

about 1 year ago


500TZS

255742****78

about 1 year ago


500TZS

255769****30

about 1 year ago


1,000TZS

255757****04

about 1 year ago


500TZS

255768****80

about 1 year ago


50,000TZS

255759****15

about 1 year agoRulenge Hospital

  255768730680
   fredrickmry@yahoo.com
  


Hospitali ya Rulenge ni moja ya miundo mbinu inayopatikana katika wilaya ya Ngara ikiwa na dhamira ya kutoa huduma bora ya afya. Hospitali hii ilianzishwa kama zahanati kwa ufadhili wa watawa wenye asili ya nchi ya Canada mwaka 1952.

Hospitali inazungukwa na wakazi wapatao 117,313 na ikiwa imeendelea kutoa huduma za afya kwa wananchi wasiopungua 8,680 kwa mujibu wa sense ya watu na makazi ya mwaka 2012.
Eneo la inamopatikana hospitali ya Rulenge ni tarafa ya Bushubi, Wilaya ya Ngara mkoani Kagera. Hospitali iko umbali wa km 45 kutoka makao makuu ya wilaya ya Ngara na umbali wa km 350 kutoka makao makuu ya Mkoa.

Hospitali hii inatoa huduma ya wagonjwa wa kulazwa na wale wa nje ili hali ikiwa na uwezo wa kulaza wagonjwa 80 kwa wakati mmoja. Vile vile hospitali ya Rulenge hutumika kama hospitali ya rufaa kwa vituo viwili vya afya na zahanati 21 zilizomo ndani ya wilaya ya Ngara.

Wanaoongoza

1

50,000 TZS

255759****15 about 1 year ago

2

50,000 TZS

255767****28 about 1 year ago

3

50,000 TZS

255767****28 about 1 year ago

4

30,000 TZS

255763****34 about 1 year ago

5

5,000 TZS

255742****13 about 1 year ago

6

2,000 TZS

255768****80 about 1 year ago

7

2,000 TZS

255769****91 about 1 year ago

8

1,500 TZS

Godluck Akyoo about 1 year ago

9

1,000 TZS

255768****80 about 1 year ago

10

1,000 TZS

255752****48 about 1 year ago

Namna ya Kuchangia

Kwa Kutumia TIGO PESA

 • piga *150*01#
 • Chagua 4: Lipia Bili
 • Chagua 3: "Ingiza namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 430043
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Kwa Kutumia VODACOM M-PESA

 • Piga *150*00#
 • Chagua 4: LIPA kwa M-Pesa
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 430043
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala
Kwa Kutumia AIRTEL MONEY

 • Piga *150*60#
 • Chagua 5: Lipia Bili
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 430043
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Zingatia: Baada ya kukamilisha mchango wako, utapokea UJUMBE mfupi wenye namba ya utambulisho wa mchango wako kutoka WEZESHAsasa. Tafadhali itunze namba hiyo kwani ni siri yako.