Rudisha Tabasamu - 100 MOYO

Rudisha Tabasamu - 100 MOYO

Kumb Na: 100100


Kuwa sehemu ya harambee hii muhimu ya kuchangisha milioni 200 kwaajili ya matibabu ya watoto 100 ambao wana matatizo ya moyo. Gharama ya kila mtoto ni milioni 2. Watoto hawa watafanyiwa watatibiwa katika hospitali ya Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) iliyoko Muhimbili.

Kampeni hii inasimamiwa na taasisi ya Jakaya Kikwete Cardiac Insitute (JKCI) na kuraibiwa na Clouds Media

Kwa mawasiliano zaidi piga +255 652 860 991

Hakuna taarifa mpya kuhusu kampeni hii kwa sasa

Zimechangwa: 2,828,800 TZS
Lengo: 200,000,000 TZS
1.41% Imechangwa
Zimebaki Siku: 0
Wawezeshaji: 303

Michango ya hivi karibuni

1,000TZS

255686****15

about 1 year ago


5,000TZS

255752****69

about 1 year ago


1,000TZS

255686****15

about 1 year ago


2,000TZS

255655****44

about 1 year ago


100TZS

255712****06

about 1 year ago


4,000TZS

255767****03

about 1 year ago


500TZS

255759****41

about 1 year ago


500TZS

255764****72

about 1 year ago


10,000TZS

255719****97

about 1 year ago


50,000TZS

255657****07

about 1 year agoJakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI)

  0752030032
   info@jkci.or.tz
  www.jkci.or.tz


Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) is a National Specialized and University Teaching Hospital offering cardiovascular care, training and research services. Jakaya Kikwete Cardiac Institute was established in October 2015 by the Jakaya Kikwete Cardiac (Establishment) Instrument, 2015 .The Institute has 103 bed capacity attending on average 700 outpatients and 100 inpatients per week.

The Institute has 203 employees of which 300 are doctors while 93 are trained nurses . is organized into six eight directorates which are Cardiology services, Surgical Services, Nursing Services, Clinical Support Services and Corporate Services. These directorates are sub-divided into 16 departments.

Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) is a Government owned hospital which serves patients from across all regions of United Republic of Tanzania who are referred from regional referral and designated hospitals for cardiovascular medical intervention.

Wanaoongoza

1

200,000 TZS

255713****64 about 1 year ago

2

156,500 TZS

255769****25 about 1 year ago

3

100,000 TZS

255759****77 about 1 year ago

4

100,000 TZS

255784****98 about 1 year ago

5

100,000 TZS

255657****15 about 1 year ago

6

60,000 TZS

255753****27 about 1 year ago

7

51,000 TZS

255754****96 about 1 year ago

8

50,000 TZS

255713****17 about 1 year ago

9

50,000 TZS

255713****71 about 1 year ago

10

50,000 TZS

255758****27 about 1 year ago

Namna ya Kuchangia

Kwa Kutumia TIGO PESA

 • piga *150*01#
 • Chagua 4: Lipia Bili
 • Chagua 3: "Ingiza namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 100100
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Kwa Kutumia VODACOM M-PESA

 • Piga *150*00#
 • Chagua 4: LIPA kwa M-Pesa
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 100100
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala
Kwa Kutumia AIRTEL MONEY

 • Piga *150*60#
 • Chagua 5: Lipia Bili
 • Chagua 4: "Weka namba ya kampuni"
 • Ingiza namba ya kampuni 150150
 • Ingiza na. ya kumbukumbu 100100
 • Ingiza kiasi TZS
 • Ingiza nenosiri kukamilisha muamala

Zingatia: Baada ya kukamilisha mchango wako, utapokea UJUMBE mfupi wenye namba ya utambulisho wa mchango wako kutoka WEZESHAsasa. Tafadhali itunze namba hiyo kwani ni siri yako.